Dogma ya fumbo la utatu mtakatifu. Mar 3, 2021 路 Sala na Fumbo la Utatu Mtakatifu: Baba, Mwana na Roho Mtakatifu; Sala zinatofautiana sana; mapungufu na umaskini katika sala; Upendo na huruma ya Mungu na kwamba, Kristo Yesu ni Mlango wa Sala ya waamini. 馃 Mpendwa, Fumbo la Utatu Mtakatifu kwa kawaida ni fumbo kuu kati ya mafumbo makuu matatu, yaani fumbo la Ekaristi Takatifu na umwilisho, fumbo la neema za Mungu na Utatu Mtakatifu ambao ndio tunasherehekea leo. Jun 4, 2023 路 Kwa njia ya fumbo hili upendo wa Mungu kwa wanadamu unafunuliwa hatua kwa hatua mpaka ukamilifu wake. . Hili ni fundisho la kweli ya imani. Papa anasema, kwa njia ya Kristo Yesu sala ya waamini inafungua malango ya Fumbo la Utatu Mtakatifu na hivyo kuwakirimia waja wake mafuriko ya neema. Ukweli mfunuliwa kuhusu Fumbo la Utatu Mtakatifu umekuwa ni vyanzo vya mizizi ya imani hai ya Kanisa, hasa kwa njia ya Ubatizo, imani inayoelezewa katika mahubiri, katekesi na katika sala za Kanisa. May 22, 2024 路 Fumbo la Utatu Mtakatifu sana ndilo Fumbo la Msingi la imani na la maisha ya Kikristo. Ni Fumbo la Mungu ndani yake mwenyewe; ni chemchemi ya mafumbo mengine yote ya imani, nuru inayowaangaza. Imani Katoliki ndiyo hii: Tunamwabudu Mungu Mmoja katika Utatu na Utatu katika Umoja, bila kuchanganya nafsi, wala kutenganisha uwamo; kwani ni Nafsi ya Baba, nyingine Jun 15, 2025 路 Na zaidi ya yote tunaadhimisha ekaristi takatifu katika utatu mtakatifu. Matokeo yake, hadi leo Wakristo wa Ireland wana desturi ya kubeba jani hilo, siku ya tarehe 17 Machi huku wakimkumbuka Mtakatifu Patrick na fundisho lake hilo maridhawa juu ya Fumbo la Utatu Mtakatifu. Hili fumbo likakuwa gumu kwetu kwa sababu tunajitenga na Upendo wa Mungu – ambao yeye mwenyewe anajifunua kwetu. Sisi leo tunajifunza kuwa Mungu mmoja katika nafsi tatu hufanya kwa shirika kazi zote endanje za ukombozi wa mwanadamu bila kubaguana wala Jun 11, 2025 路 Sherehe ya Utatu Mtakatifu Ni Msingi wa Mafumbo Yote ya Kanisa! Papa Leo XIV anawaalika waamini kutafakari kuhusu Fumbo la Utatu Mtakatifu, chemchemi ya upendo wa Kimungu, ili hatimaye, kutekeleza mapenzi ya Mungu katika maisha yao. Jun 5, 2009 路 Siku kuu ya Fumbo la Utatu Mtakatifu Neema ya Bwana wetu Yesu Kristo, na pendo la Mungu na ushirika wa Roho Mtakatifu ukae nanyi nyote. ljbveq fwli weoblaxl ginlq ydvud exwy dzttpxz gxngt twdwe jtdhyht